1. |
|
|||
Ma en thura jowa thura ma shero ka ma
Kenya en piny wa ma ahero ma akane chunya ka ma
Kata ka adhi kanye ok wiya ne wil kodi
Kenya ma in ie Kenya na
Kenya mukunda kwa papa
Ingo wa mama, ndakhuyanza
Kenya my country my love and my home
Poro poro
Gi ma chanda, Gi ma chanda onge
Poro poro
Nde na muthoganio ni nde Mukenya
Tsimbira, tsimbira Iwimbo
Poro poro
Shangiliaehh Kenya, Nakupenda we Kenya
Moyo wangu ni Kenya, Shanghalia Kenya
Moyo wangu nakupa mama we
Maisha yangu najitolea kwako
Mimi wako, we ni wangu
Kenya mama, Nakupenda
Wana Kenya miritu eehee
Ndira shokia Ngai Ngatho
Ngai akuigirie mifango miega
Naii kuri andu othe, Haiya
Gi ma bwoga onge
Kenya an aheri gi chunya duto
Ok ari a ringi, in e kende e ma geng'i
Chunya okwe ka an pacho
Shange na vigelegele
Mama Kenya, sasa wajionea waweza vyote
Nimeamua nitasafiri kwa miguu, gari na ndege
Nikikusifu we Kenya
Vukula, vukula, vukula Kenya yanje
Poro poro
Vukula, vukula, vukula olwimbo lwanje
Poro poro poro
Shangilia Kenya
Uibariki Kenya
|
||||
2. |
Owiny' Sigoma - Dunia
05:45
|
|
||
Che che kulee
Che che kulee haa
Ahee hoo
Ooh why ooh why ooh why ooh why,
Ahee hooo,
Ohh why ooh why ooh why ooh why,
Ahee hooo,
Dunia leo twenty Euro ooo twenty euro
Vyakula mkateee twenty-euro
|
||||
3. |
Cheptab - Tutaonana Tena
04:08
|
|
||
Ni machozi inayo nifanya nisiwe na nguvu
Jinsi mambo inavyo niendea mrama
Tafadhali nishike mkono niongoze ...
Wee ongoza
Nina ndoto nyingi ningependa kutimiza
Njia ya kupata ndio mimi sijui tu
Tafadhali nishike mkono niongoze...
Wee ongoza
Tutaonana tena
Tutaonana tena
Tutaonana tena
Mola akitujalia...iyee
Kiralany tuloknok awendi en oret
Kotomo anyoru chito neuinye,
ongen kole kiiringalan ile ichomou
Imaan. Koting'olon, mwonon asi anainyee
Kotichomon inyee
Mating' alaan
Koting'olou, mwowon asianai kotowendi
Kotomerenyonee ameroweksei kong'ung
Mwowou asianai, kotowendi moroweksei
Saisere tuntoketusitosi imaan
Kokomukwech Kiptaiyat
|
||||
4. |
|
|||
Webusa, ibropodho kwangala
Joge akweri sangna, mine ma tan'go
Wambuza, webusa sangna
Joge akweri sangna nine ma tan'go
Gimi-chamo sangna, giro ber olor eich sangna
Pod ober to gima aukoro sagna
Kori imer Iwuotho an'gaya wambuza
Piny oyuso ni
Wambuza igweyo ni sajni wan'ge o-oure
Ni piny jilimo buche Piny oyuso ni
Wambuza ni mbithi odak etyang aora
To ok on'geyo mit Piny oyuso ni
Wambuza ma mon ton'go gi le
Chuo to oluoro ka le Piny oyuso ni
Wambuza booze oketho laki
Ki-ihamo iwenge buyi Ping oyuso ni
Ah-hh chesky wanvyza Hos, hos, hos, hos....
Wambuza tera mos nyaka Nairobi
Dipo ka abedo hepi
Wambuza tera mos nyaka Kisumu
Adhi aneye joka nyanam
Wambuza tera mos nyaka Kampala,
Uganda achem-ye matoke
Wambuza tera mos nyaka Tangnyika
Ninukie kara ja
|
||||
5. |
|
|||
Okhuchenda khwa ndachenda
Mubalo nende ebialo
Ndalola amanji nishili mwana
Lelo emubile
Omwoyo kwe imbalikha kuli habunda hosi
Okulenyanga owashio abe ninasho
Eshiyomba eshishio
Watsia okhumbirakwi
Kwachila abandu khwahwa
Nolanga omulayi nabandu busi shiomenya ta
Omulayi aliba wina
Baluyia banje mulayi alibawina
Omulayi aliba wina
Ombogowatsia asila unyamashienji
Omulayi aliba wina
Makero watsia nende roman mango
Omulayi aliba wina
Ambetsa watsia inzofu mwana wakumba
Mulayi aliba wina
Amambia watsia anyona nende atulo
Mulayi aliba wina
Florence walila itochi yebushili
|
||||
6. |
|
|||
Ekindego kane wawuotho e town kawamako luetwa ka jarateng ma America
Ji ne wuoro ni mae ndalo ja hera Awino chieng na timni ango
bi inena bi inena, Akinyi yawa di po kikonyo ngimana
Lando jaber Akinyi yoh, in kende Rachael mama
Kane wawuotho kwamako luetwa ka wa sungu ei
Boma ji nene wuor, chuo ne rango gi go machemo gi tuomore ni Tup-Tup Tup-gi neno nyako
Bere mari kende gi hera mari ketho wiya nyaka sahi
Ahah Awino to an atim angowa mama
Bi inena bi inena, Akinyi yawa di po kikonyo ngimana
Berni kende Akinyi yoh kalando mami ohingo awacha
Labatiki mabe kadori masanga tucheze muziki ya
Bana Kadori
Nairobi yote dunia mobimba
Bana basemba sema na bana opoga, bana tetemeka tu baksikia
Huruma passie, huruma mobimba, Huruma ghetto, Huruma diambo, Huruma kona
Uchunge sana usipotezesaa pamoja na kiatu
Kuna vijana oh, hatari corner wana kutagea we upite salama naukizubaa
|
||||
7. |
|
|||
Angalia chini, uone anavyolia
Angalia nyuma na akufwata
Angalia kando amekushikilia
Pande zote yuwapo nawe
Nisaidie mama, nisaidie
Nisaidie dada, nisaidie
Nisaidie ama, nisaidie
Jamani munisaidie
Angalia vile amejiskilia
Anavyolia ywalia kwa njaa
Angalia vile anavyoegemea
Uchungu unamuumiza we..
Nisaidie mama, nisaidie
Nisaidie dad, nisaidie
Nisaidie mama, nisaidie
Jamani munisaidie
Tutalaumu nani?
Tutalilia nani?
Tutalaumu nani?
Mateso ya mtoto wa Afrika
|
||||
8. |
|
|||
Watoto msome
Watoto msome sana
Watoto msome sana
Haa-aa haa-aa Kenya
Haa-aa Kenya
Haa-aa haa!! Kenya
Kenya yetu
Kenya inaenda mbele
Kenya yetu
Kenya inaenda mbele
Haa haa Kenya
Kenya yeto
Kenya yetu ndugu
Kenya yetu
Kenya yetu ndugu
Haa haa Kenya
Hatutaki matata
Hatutaki matata Kenya
Hatutaki matata
Hatutaki matata Kenya
Hatutaki matata
|
||||
9. |
|
|||
Chamndate andeto-andeto
Chamndete andeto
Yawuoi moko folgi nyiri chamndete-andeto
To nyiri moko fok fi chuo chamnde andeto
Ayudo wuoi to kara kia nichamdete-andeto
Awenayuto to kara ayudacham ndete gi ndeta
Ninalia kwa hunzuni cham ndete gi ndete andeto
Nguyguye chawa kunguni chamndete andeto
Chamdneteee-andeto cham ndete andeto
Sikilize niwaeleze sababu gani nalia
Nilipata mume mrembo sikujua ni kupe
Black beauty nikampendasikujua ni chawa
Shingo lake dume borana kumbe ni chawa
Chamndetee-andeto cham ndete andeto
Kwa ukweli kodi ya nyumba chamndete ni shida
Hali mboga wala turungi chamndete ni shida
Wallet yake alala naye kwenye chupi cha ndani
Chamndete naogopa cham ndete andeto
Chamndete-kilio cham ndete andeto
Cham ndete andete andeto cham ndete andeto
Onyango moro okao nyako cham ndete
Otieno wuoi oyundo nyako cham ndete
Ikaononomakata mwandu cham ndete okichulga
Adak kodi higniapar makata baba okin'geyo
Anyuolo kodi nyithindo ariyo tokata mama okin'geyo
Anyuolo wuoi michako wuoru cham ndete indeta
|
||||
10. |
|
|||
Imiano Kipla, Imiano baby
Ooh Kipla, Ooh baby
Mwowo weli imi siachen'gin Kipla
Ooh baby, Agot kugi tunis Kipla
Mabisten baby
Achengin Kipla agoi tun amei we
Mwowo weli kiwe siachen'gin Kipla
Ooh baby
Nyo chuchuna, Sia chuchunin
Si chuchuna, sia churchunin
Kilen ichomon Kipla
Kiwo awo chamye
Kiwo awo sinemat, Kiwo awo disko
Mwowo weli imi siachen'gin Kipla
Mwowo weli kiwe sigosop ulcers
Achamin Kiplagat', Achamin baby Kipla
Kiawe London aga chengin Kipla we
Awe Amerika komaimi Kipla
Awe ago Europe, Awe ago Asia
Awege Afrika, Awe ago Rift Valley
Imiano Kiplagat, Imiano baby
Achiengin kipla, Agot tut amei we Kipla
Nyo chuchuna, Sia chuchunin
Si chuchuna' Sia chuchunin
|
||||
11. |
|
|||
Nithukitio kiongo niuthaka wa kairitu
Niuthaka wa kairitu gathaithi 24 Milika
Wahiuha ni mwari wa kioko na kwao nii lkamba iture ria Masii
Sammy uka tuthi ni ukunduara
Ikambaini Sammy uka tuthii
Uthoni wa Milika
Ni twonaniire nako uhikiini wari kwao
Da nyuaga wothe ugiitika
Tothi ndariaga oronayo ikigua thii
Ndatigiruo ng'ethetie ndonaga na kanua
Tuarikia kugiithania ngiringika ngigua
Thii ni ndaitiriirio mai ngarani muguanja
Andu amwe maugage ati nii ndi wakibaba nao
Aria angima ugage ndi muroge nii Ikamba
Nanii ninda merire niuthaka wa Wahiuha
Niguo wakiria njano ndiri ndona tauyu
Tuitho tugukenga tuha tua muraika kamugambo
Kahoro ta muto wa mbaba
Ndiroria muthenya uyu wa juma ugakinya ri
Ndikinyie kanithaini thiruo ni wasiwasi nacio
Ng'endo cia Ikamba nyambe ndicihumuke
Nigukuruo ndana thii ndana hiuka mahunge
|
||||
12. |
|
|||
Ndungu zangu, ninawaomba,
Mnisikize, kilio changu.
Hebe jiulize, umetoka wapi
Uendako, utakakokuwa,
Siku zijazo?
Maisha mviringo
Leo kwangu, kesho kwako
Badilisha mwenendo
Wasaidie wasiojiweza
Nijani nimepitwa, nikiomba msaada
Waliponiona, walinpita
Hawakujali, mgonjwa mimi sijiwezi
Pesa nazo, sina kamwe
Nifanye nini?
Taabu zimenisonga
Sina wakutegemea bali Yesu.
yeye ngao yangu, kimbilio
Nyota yangumsaada wangu
Uzima wangu.
|
If you like Spotlight on Kenyan Music Vol.3, you may also like:
Bandcamp Daily your guide to the world of Bandcamp